Asubuhi ilipoanza kuchomoza kijijini Mwika, Joseph alikuwa na mawazo mengi kichwani. Ndoto yake ya kuwa mtaalamu wa teknolojia ilikuwa ikikua kila siku, lakini kulikuwa na jambo jipya lililoanza kuuteka moyo wake—hisia zake kwa Doreen Revocatus.
Doreen alikuwa msichana mwenye haiba ya kipekee, mwenye tabasamu la upole na macho yaliyokuwa na mwanga wa matumaini. Alikuwa akisoma katika shule ya sekondari ya wasichana mjini Moshi, shule iliyokuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments