STORY: JUMBA JEUSI
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
EPISODE 33.
ENDELEA.......
Biashara yangu mwanzoni niliona kama inatisha, kama unavyo jua wanaume, mimi nilikuwa mgeni hivyo nilionekana kigoli kwahiyo nilikuwa nashambuliwa kama jogoo la pasaka. Mara ya kwanza nilikuwa muoga, nilikutana na baadhi ya watu wakawa wananitapeli pesa mpaka pale ambapo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments