STORY: JUMBA JEUSI
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
EPISODE 41
ENDELEA.......
LUANA (LILIANA)
Sauti ya kike ilisikika, ilionekana kuwa ni sauti ambayo ililia kwa muda mrefu bila kupata msaada. Sauti hiyo ilikuwa kinyonge ikionyesha kabisa kwamba ilitoka kwa mtu ambaye kama sio kukata tamaa basi hakuwa na uhakika wa jambo ambalo lilikuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments