STORY: JUMBA JEUSI
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
EPISODE 42
ENDELEA.......
Hakuwa anajua kuhusu ujauzito mpaka baadae ndipo alitambua jambo hilo, alikerwa na tabia ya mama yako kufanya maamuzi bila ruhusa yake ila alikubali kuhusu mtoto hususani baada ya kuwa na uhakika kwamba kweli mtoto alikuwa ni wake. Tangu hapo mama yako …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments