STORY: JUMBA JEUSI
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
EPISODE 44
ENDELEA.......
“Ni muda mrefu kidogo, umeonekana kabisa umeridhika na maisha ya huko utokato” raisi aliongea akiwa anamwangalia kijana wake kwa umakini mkubwa.
“Ndiyo mheshimiwa, maisha ya kule kwa sasa nilikuwa nimeyazoea ndiyo maana hayajanipa taabu kabisa”
“Nilipata taarifa za kifo cha Shimamoto, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments