Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

STORY: JUMBA JEUSI

MWANDISHI: FEBIANI BABUYA

STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER

WHATSAPP: 0621567672

EMAIL: [email protected]

AGE: 18+

EPISODE 45

ENDELEA.......

Alitoka ndani ya ofisi na kuisogelea pikipiki yake ambayo ilikuwa imepanda hewani, alikuwa anajihisi kukamilika awapo juu yake kwahiyo akaanza kutoka taratibu mpaka pale ambapo alihisi kwamba kuna mtu alikuwa anamfuatilia na pikipiki kwa nyuma. Mara ya kwanza alihisi kwamba kila …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next