STORY: JUMBA JEUSI
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
EPISODE 46
ENDELEA.......
“Ni raisi ndiye ametaka kesi ifungwe?”
“Nadhani nimekujibu kwamba nipo hapa kwa niaba yake”
“Kwanini afanye hivyo?”
“Siku nyingine usije ukafanya hilo kosa, mbwa mmoja wa chini kama wewe kuanza kuhoji sababu ya raisi kufanya maamuzi fulani. Natamani ingekuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments