STORY: JUMBA JEUSI
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
EPISODE 52
ENDELEA.......
“Haukuwa na chaguo lingine?”
“Ndiyo”
“Kwa kumuweka yule kibaka ambaye ameenda kuudanganya umma kwamba raisi ndiye amelipendekeza jina lake na kumkabidhi ofisi?”
“Hayo kwa sasa hayatuhusu Ngumbaru”
“Mimi ni mkurugenzi wa usalama wa hili taifa hivyo yananihusu. Mpaka sasa nilitaka kupata …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments