STORY: JUMBA JEUSI
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
EPISODE 55
ENDELEA.......
Jessica baada ya kufanikiwa kurusha zile risasi hata hakujiuliza mara mbili kwa sababu alitambua kabisa kwamba alikuwa anakufa kwa yule mtu hivyo alitoweka kwa kukimbia ndani ya lile eneo. Hakupitia mlangoni kwani alielewa kwamba mpaka aje kuingia kwenye gari na kuwasha …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments