Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

STORY: JUMBA JEUSI

MWANDISHI: FEBIANI BABUYA

STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER

WHATSAPP: 0621567672

EMAIL: [email protected]

AGE: 18+

EPISODE 56

ENDELEA.......

“Hii ndiyo sababu ya kunitoa mimi kwenye mfumo?”

“Ndiyo ukweli wenyewe”

“Haukuwahi kuniambia hili jambo”

“Siku tu ambayo uliapa kulilinda hili taifa maana yake ni kwamba upo tayari kufanya lolote kwa ajili ya taifa hili, hivyo hakukuwa na haja ya mimi …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next