Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

STORY: JUMBA JEUSI

MWANDISHI: FEBIANI BABUYA

STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER

WHATSAPP: 0621567672

EMAIL: [email protected]

AGE: 18+

EPISODE 62

ENDELEA.......

Taratibu Jaden alipandisha akiwa makini japo alikuwa na imani kwamba walinzi walikuwa wamekufa maana yule wa mwisho hata hakuhangaika naye baada ya kupigwa risasi za kutosha pale sakafuni, alibaki anahangangaika huku akiwa navuja damu kila sehemu. Alikanyaga mlango kwa nguvu ukavunjika …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next