Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

STORY: JUMBA JEUSI

MWANDISHI: FEBIANI BABUYA

STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER

WHATSAPP: 0621567672

EMAIL: [email protected]

AGE: 18+

EPISODE 67

ENDELEA.......

“Naitwa Moringe Yahya, jina langu linaweza kukuchanganya lakini isiwe hivyo kwa sababu nimezaliwa kwa mama mkiristo na baba ambaye alikuwa mwislamu hivyo waliamua kubalansi mambo kwenye upande wa majina ili kila mtu aweze kupata utambulisho wa dini yake kwangu. Nina uhakika …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next