STORY: JUMBA JEUSI
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
EPISODE 70
ENDELEA.......
“Na wewe unaniambia kama nani?”
“Kama mtu ambaye nahakikishe yeye anakuwa salama”
“Ooooh! Kwahiyo utapingana na amri yangu sasa?”
“Najua kwamba wewe ni bosi wangu lakini kwa hili sitaruhusu uweze kulifanya” wakati hayo yanaendelea Zyra alikuwa ameamka tayari, alikuwa amejibanza kwenye …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments