Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

STORY: JUMBA JEUSI

MWANDISHI: FEBIANI BABUYA

STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER

WHATSAPP: 0621567672

EMAIL: [email protected]

AGE: 18+

EPISODE 71

ENDELEA.......

Joena Litasigwa, mwanamke ambaye alikuwa ametaradadi, ukimkuta mtaani ungehisi ni wale wadada wa mtandaoni jambo ambalo lilikuwa linawaua wanaume wengi mafisi. Mwanamke huyo alikuwa anatumika sana kwenye mitego ya kuwadaka wale wanaume wakware ambao wao waliamini kwamba kila mwanamke wanatakiwa kumpitia, …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next