Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

STORY: JUMBA JEUSI

MWANDISHI: FEBIANI BABUYA

STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER

WHATSAPP: 0621567672

EMAIL: [email protected]

AGE: 18+

EPISODE 74

ENDELEA.......

“Nenda nje hapo, tembea hatua miambili kulia kwako, utaona kuna gari nyeusi imesimama hapo, ingia humo ndani kuna mtu atakuleta kwangu” alishangazwa na habari hiyo kwa sababu ilionekana kabisa kwamba mzee huyo alikuwa anamfuatilia kila sehemu ambayo alikuwepo. Alijifunika hijabu yake …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next