STORY: JUMBA JEUSI
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
EPISODE 76
ENDELEA.......
********
Ukimya ulikuwa umetawala, nyakati hazikuwa rafiki, kiza kilikuwa kinazidi kunawiri na kulifanya jiji kushamiri na shamrashamra za watu ambao walikuwa wakipenda kujipongeza kila walipokuwa wakifanya kazi ngumu au kazi ambazo zingewafanya kuwa kwenye nafasi ya kuhitaji kujipongeza kwa kazi nzito …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments