STORY: JUMBA JEUSI
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
EPISODE 77
ENDELEA.......
“Ndiyo”
“Uliwahi kufikiria kuniambia hili jambo?”
“Hapana”
“Okay, basi nashukuru kwa kunipa hii elimu kubwa kwa sababu umenifanya niwaelewe wanadamu kwa namna tofauti na ilivyokuwa mwanzo. Kuna nyakati unaamua kuwa mtu mwema lakini ulimwengu unakulazimisha wewe kuwa mtu mbaya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments