STORY: JUMBA JEUSI
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
EPISODE 78
ENDELEA.......
Gari hiyo ilitokea maeneo ya Sudan ikiwa imenyooka kwelikweli, kumgonga kijana huyo kulilifanya kuyumba kidogo lakini mwenye gari hakusimama, aliongeza mwendo na kutokomea kwani alitambua kabisa kwamba ilikuwa ni kesi ya mauaji hiyo na hakuwa tayari kufa kwa ajili ya mtu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments