STORY: JUMBA JEUSI
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
EPISODE 80
ENDELEA.......
“Sio wewe?”
“Ndiyo”
“Kwamba kuna mtu mwingine ambaye aliniombea maisha yangu?”
“Bosi wangu alimsisitiza kwamba akusikilize kwanza kwa sababu unaweza kuwa umefanya yale ili uishi na hata kama angekuwa yeye kwenye nafasi yako huenda angefanya hivyo hivyo”
“Sijui nitakuja kuwalipa nini …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments