Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

STORY: JUMBA JEUSI

MWANDISHI: FEBIANI BABUYA

STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER

WHATSAPP: 0621567672

EMAIL: [email protected]

AGE: 18+

EPISODE 84

ENDELEA.......

Jaden akionekana kama mtu ambaye alifura kwa hasira alisogea upande wa pili ambako kulikuwa na meza kubwa ambayo juu yake ilikuwa na vifaa vya kutesea. Aliinama akiwa anakagua mpaka pale ambapo alilipata shoka moja dogo la kushika kwa mkono mmoja, alilinganisha …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next