SEHEMU YA 215.
Haikuwa hata na haja ya kugeuka na kujua ni nani , kwani sauti yake alishaijua tayari ni ya Nyakasura.
“Madam Nyakasura nilikuwa nikisaidia kitengo chenu cha Malibu , nilitoka kumkamata mbaya wenu”
“Umempata sasa?”
“Ndio na amekufa”
“Nani”
“Rehema Mndeme”Aliongea Hamza
“Ni yeye kweli . Yule mama na ubonge wake amefanya kazi chini ya idara ya Secretariat kwa zaidi ya miaka ishirini …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments