STORY: JUMBA JEUSI
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
EPISODE 86
ENDELEA.......
“Lulu!!!!’’
“Nilijua tu kwamba hauwezi kuziacha, upo tayari nibaki mwenyewe yaani hajali lolote kuhusu haya ambayo yanatokea kwangu, haujali kabisa hisia zangu, muda wote unawaza kuhusu kazi yako tu. Umekuwa mwanaume gani ambaye unakuwa mbinafsi sana namna hii, kwanini unajifanyia haya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments