Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

STORY: JUMBA JEUSI

MWANDISHI: FEBIANI BABUYA

STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER

WHATSAPP: 0621567672

EMAIL: [email protected]

AGE: 18+

EPISODE 88

ENDELEA.......

“Hilo haliwezekani kujua kwamba sisi tungekuwa pale”

“Nimeangalia kwa umakini ni kwamba hawa watu wametoa taarifa kwenye vituo vitano tifauti kwa wakati mmoja. Kwenye kazi zetu sisi hili ni jambo la hatari kwa sababu kuna watu ambao alikuwa anahitaji hii taarifa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next