STORY: JUMBA JEUSI
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
EPISODE 91
ENDELEA.......
“Hii habari ina muda gani?’’
“Haina hata nusu saa’’
“Kwanini ametaka tujue kwamba leo kuna tukio kama hili?”
“Huenda anajaribu kukutisha kwa sababu ya uliyo yaongea kwenye vyombo vya habari’’
“sina imani kama anajali lolote kuhusu hayo’’
“Unahisi ana maana ipi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments