STORY: JUMBA JEUSI
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
EPISODE 92
ENDELEA.......
“Hapana tulipewa kazi ya kuweza kumlinda tu mpaka pale ambapo tungepata amri nyingine”
“Raisi huwa anakuja huku?”
‘Ndiyo, mara moja moja huwa anakuja’’
“Yupo eneo gani ndani ya hili jengo?”
“Chumba namba tano’’ hakuhitaji kuongea naye zaidi ya kummaliza kwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments