Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

STORY: JUMBA JEUSI

MWANDISHI: FEBIANI BABUYA

STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER

WHATSAPP: 0621567672

EMAIL: [email protected]

AGE: 18+

EPISODE 95

ENDELEA.......

“Kwamba huyu ndiye sababu ya baba yangu kuuawa?”

“Ndiyo”

“Anawezaje kuwa eneo kama hili akaendelea kujumuika na wewe ambaye ulikuwa mlinzi wa raisi?”

“Kwa sababu mimi nilitaka kumuua kuliko hata wewe unavyo tamani kumuona akiwa amekufa. Huyu ni mwanamke ambaye nilimpenda …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next