SEHEMU YA 216.
Kibaraka wa Ardhi.
Silvia aliinua kichwa chake na kumwangalia Saint Auland na kutoa tabasamu na sura yake iliofubaa.
“Asante sana , Mr Rodtiguez. Nipo sawa , nitakuwa sawa muda si mrefu”Ilikuwa ni dhahiri kile alichokifanya Silvia kilimgusa mno Auland.
“White Queen , ungependa kupumzika kwanza , kabla hatujafungua nyaraka ya Ankh?”Mkurugenzi wa Set , bwana Hewitt alisogea na kuongea kwa heshima.
“Haina …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments