Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

STORY: JUMBA JEUSI

MWANDISHI: FEBIANI BABUYA

STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER

WHATSAPP: 0621567672

EMAIL: [email protected]

AGE: 18+

EPISODE 96

ENDELEA.......

“Kama ukipewa nafasi nyingine ya kuamua jambo la kufanya unaweza kurudia kufanya hayo ambayo uliyafanya?”

“Hapana, nilitegemea ningekuwa na furaha baada ya kupata pesa na kuwa hai lakini sio kweli. Kuna mambo ukiyafanya kwenye maisha yako yatakutesa mpaka siku unakufa, hautakaa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next