STORY: JUMBA JEUSI
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
EPISODE 98
ENDELEA.......
“Nilikwambia usubiri kwenye gari’’
“Kwa leo nadhani unatakiwa kunishukuru kwa kuyaokoa maisha yako bosi kwa sababu huyu mjinga alikuwa anaenda kukuua’’ Oliver hakuongea lolote kwa sababu alikuwa anaambiwa ukweli, alisogea akakaa pembeni kidogo ya sehemu ambayo alikuwa amekaa mkuu wa majeshi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments