SEHEMU YA 217
Black Fog mara baada ya kusikia kauli ya Hamza , haraka sana alisimama.
“Haina haja Bro , nitaruhusu vipi mwanaume kupika kwa ajili yetu , ngoja nitafanya mimi”
Kabla Hamza hajaongea chochote , Black Fog alishaichukua Apron na kwenda kwenye friji na kuchukua vitu kwa ajili ya kuandaa kifungua kinywa. Hamza hakuwa na jinsi zaidi ya kukaa chini na kumuangalia usoni Regina.
…Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments