Reader Settings

SEHEMU YA 177.

Lilikuwa neno moja tu na jepesi lakini lilifanya upande wa pili kuwa kimya kwa senduke kadhaa. Mathayo Paco ilionekana ni kama alikuwa kwenye mshangao au pengine hakusikia vizuri.

Baada ya kuisikia sauti ya Hamza ya kifaransa alijikuta akiwa katika kutafakari kwa sekunde kadhaa

“Oh! Mungu wangu ..” Mathayo alionekana kuhamasika mara moja huku akiongea kwa nguvu . na palepale alituliza sauti yake …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next