Mfupa wa kifo.
Black Fog mara baada ya kumshika mkono Regina na kumvuta kidogo , Regina alisimama kama alikuwa akigoma kukimbia.
“Sister Regina , tuondoke”Aliongea Black Fog akiwa amegeuka nyuma.
Regina uso wake ulikuwa umejawa na machozi na aliishia kugeuza kichwa chake na kumwangalia Hamza aliekuwa akiugulia maumivu.
“Lakini.. Lakini!”
Hamza hakuwa hata na muda wa kuwaangalia wanawake hao wawili. Umakini wake wote …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments