Hamza alienda kujirusha pembeni ya Regina na kumwangalia uso wake uliofubaa. Ilikuwa muda huo ni kama damu yake ilikuwa ikipotea na nafsi yake.
Kwa tabu sana Regina aliinua mkono wake na kushika eneo la kifuani , sehemu ambayo siraha ile ilikuwa imemtoboa.
“Na na.. nakufa Hamza”
Regina sauti yake ilikuwa dhaifu mno , dhaifu kiasi kwamba ilikuwa ngumu kumsikia vizuri.
Hamza aliishia tu kumkumbatia Regina …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments