Reader Settings

Jamii ya muungano wa siri.

Skellidoni mara baada ya kumuona Hamza akimsogelea hofu ilimwingia na kujikuta akirudi nyuma.

“Lucifer wewe kweli ni Gwiji wa kizazi kipya, lakini bado huwezi kunishinda”

“Kizimba cha mfupa!!”

Skellidoni mara baada ya kumaliza kuongea alikuwa tayari kujizingira na nguvu ya kifo kwa mara nyingine. Na wakati huo huo mifupa mingi mirefu ilichomoza kutoka ardhini mmoja baada ya mwingine na kumzingira …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next