Msisimko wa Regina
Hamza alimshika tai yule dokta kwa nguvu akiwa amemkazia macho.
“Unapaswa kuniitia mtaalamu wa kunipa maelezo ya kutosha na sio kutafuta Credit kwa kuniambia mke wangu yuko sawa”
“Sawa Mr .. ngoj,,, ngoja niite daktari bingwa wa
masuala ya ubongo, aje na akupatie maelezo”Aliongea kwa kutetemeka na Hamza alimwachia.
“Wife usiwe na wasiwasi , nitajua njia ya kukusaidia kurudisha kumbukumbu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments