SEHEMU YA 221.
Hamza, mara baada ya kufika nje ya mgahawa wa Dina, aligundua kuwa sehemu hiyo ilikuwa imepambwa kwa miti ya Christmasi. “Bro, karibu sana. Marafiki zako wapo ndani wanakusubiria,” aliongea Lau, ambaye alimsaidia Hamza kushusha mizigo.
Muda huo ndipo Hamza alijua kuwa Black Fog na wenzake walikuwa tayari wamefika. Alimshika bega Lau kwa kugonga kidogo huku akisema:
“Nilisikia uliumia, vipi? Umeshapona sasa?” “Ni …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments