Usiku ule Joseph hakuweza kulala vizuri. Alijua kuwa wazo la Kweka Group of Companies (KGC) lilikuwa mwanzo wa safari ndefu. Lakini hakujua safari hiyo ingekuwaje. Alijilaza kitandani huku mawazo yakiendelea kumzunguka kichwani—atapateje fedha za kusajili kampuni? Atakapoisajili, ataiendesha vipi? Je, ataweza kweli kufanikisha ndoto hii au itabaki kuwa tu wazo zuri lisilotekelezeka?
Alipoamka asubuhi, jambo la kwanza alilofanya ni kuchukua daftari lake la mipango …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments