Baada ya kusajili rasmi Kweka Group of Companies (KGC), Joseph alihisi kuwa hatua yake ya pili ni kuendelea na elimu ya juu. Alikuwa ameomba nafasi ya kusoma Teknolojia ya Habari (IT) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, na sasa alisubiri majibu kwa hamu. Wakati akisubiri, hakupoteza muda. Aliendelea kujifunza masuala ya biashara na teknolojia kwa kina. Kila siku jioni, baada ya kumaliza kazi za …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments