Deepstate.
Kwa mtazamo wa Yasin , alijua Hamza angenywea kutokana na ukubwa wake , lakini matokeo yake ilikuwa ni tofauti. Hamza alionekana kutokumjali kabisa wala kuwa na hofu.
Yulia kusikia kauli ya Hamza aliganda kwa sekunde kadhaa , lakini palepale alijikuta akicheka chini chini , katika moyo wake alionekana kuridhishwa na Hamza.
“Babe huna haja ya kuwa na haraka , tuna muda wa kutosha wa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments