SEHEMU YA 223.
Yulia aliishia kumwangalia Hamza na mwonekano wa macho yasiokuwa na furaha.
“Una uhakika ulikopi hizo taarifa kwenye tarakishi yake?”
“Ndio”
Hamza alikuwa na uhakika , ingawa hakuwa mtaalamu wa masuala ya kompyuta, lakini kukopi taarifa halikuwa tatizo kwake.
“Kama ni hivyo basi Saidi hakuwahi kuweka taarifa za tafiti zake kwenye tarakishi”
“Unataka kusema kwamba taarifa nilizokopi kwenye tarakishi hazikuwa teknolojia ya kutengeneza …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments