SEHEMU YA 223.
Black hole
Hamza muda ule alikumbuka biashara ya vyungu , ambayo ilikuwa ikifanywa na Alex , ukweli ni kama suala hilo alilipotezea kwa muda, ni suala ambalo pia lilimgusa rafiki yake Amir , lakini ni kwa muda hakuwasiliana nae tokea mara ya mwisho kuachana Karambezi.
Hamza aliangalia yule mrembo wa haja akipatiwa mzigo wake kwenye boksi na kisha kutoa kadi ya benki …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments