Siku iliofuata , Hamza alivyofika kazini , aliweza kumuona Rhoda akiwa amefika na amevalia suti safi na kuonekana kama mtaaluma flani hivi.
Linda mara baada ya kupewa taarifa Hamza amehamishwa na nafasi yake kuchukuliwa na mwanamke mwingine , alijikuta akipatwa na presha kubwa na mwonekano wake ulizidi kuwa siriasi.
Hamza alimkabidhi Rhoda ofisi yake huku akimpa maelekezo ya kutokugombana na Linda na kufuata wajibu wake …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments