Mara baada ya kuelezea kile kilichotokea ndani ya shimo, Himidu alijikuta akishikwa na jasho la baridi. Aliona habari hiyo ilikuwa kubwa mno, na haraka sana alifanya mawasiliano na makao makuu ili kupata maagizo mengine.
Hamza, upande wake, alirudi mjini kwa haraka haraka. Hakutaka Yulia aendelee kushikiliwa kwa muda mrefu.
Mara baada ya kufika makao makuu ya nchi, katika kambi ya jeshi, Hamza alipelekwa moja kwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments