Mbwa wa kijerumani

Hamza mara baaada ya kaungalia uelekeo aliotumiwa na Irene hakuona haja ya kutumia gari na badala yake aliona achukue taksi ndio ingeweza kumuwahisha haraka.

Mara baada ya kufika ni kweli ni kama ambavyo

Irene aliongea , kwani aliweza kuona gari aina ya Porsche ikiwa imeengeshwa mshazari karibu na nguzo ya taa huku mlango upande wa siti ya mbele ukiwa umebonyea kwa kuingia …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next