HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
SEHEMU YA NANE
Mwanaume huyo mtu mzima aliitoa simu yake na kumpa kijana huyo ambaye jina lake alikuwa anajikulikana kama Hezroni. Kwenye simu hiyo ilikuwa inaonekana picha ya mtu ambaye sura yake haikuwa inaonekana vizuri kwa sababu iliwekwa kivuli.
"Huyu nani?"
"Nahitaji ukitoe hicho kivuli ndiyo kazi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments