HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
SEHEMU YA KUMI NA TATU
Aina ya sehemu ambazo walikuwa wanapita ndizo zilimpa taarifa kwamba alikuwa amewekwa kwenye chumba cha mbali sana na wenzake. Njiani alikuwa anakutana na vyumba vingine ambavyo vilikuwa wazi huku vikiwa kwenye hali mbaya sana ambayo kiuhalisia hakutakiwa binadamu yeyote yule kuishi ndani …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments