Reader Settings

“Kama umesema kila kikombe kina kahawa , kuna utofauti gani. Halafu mbona sijawahi kuona hivyo vifungashio?”

“Ndio habari ya mjini kwasasa hivi mke wangu, ni kahawa iliotengenezwa hapa hapa nchini , lakini kutokana na upekee wake ndio maana inauzwa kwenye migahawa mingi ambayo ni francaised.Nashangaa mwanamke kama wewe huna habari , wakati ndani ya kampuni wafanyakazi wengi wameshikilia mkononi” “Kwahio unasema mimi ni mshamba au?” …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next