HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
SEHEMU YA KUMI NA NNE
"KWELI ILIYO FICHWA"
Ndicho kilikuwa kichwa cha habari cha taarifa hiyo ambayo ilileta mkanganyiko mkubwa sana. Gazeti hilo lilitoa taarifa kwamba viongozi wengi wa kisiasa pamoja na vyombo vya usalama hawakuijua kazi yao na wengi walitakiwa kutoka kwenye nafasi zao kabla hawajachelewa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments