HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
SEHEMU YA KUMI NA SABA
Wakati mheshimiwa akiwa kwenye hasira kali na mawazo mengi, kwenye ofisi yake aliingia katibu mkuu kiongozi
"Umeona kinacho endelea?" ndilo lilikuwa swali la kwanza la raisi kwa mtu huyo.
"Ndiyo mheshimiwa"
"Kuna lolote umelifanya?"
"Hapana, imekuwa ni ghafla sana hili jambo limetokea …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments