Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)

MWANDISHI: FEBIANI BABUYA

EMAIL: [email protected]

WHATSAPP: 0621567672

AGE: 18+

SEHEMU YA KUMI NA NANE

"Halafu kabla hujaondoka, nikitoka huko nataka kukutana na huyo binti ambaye alifanikisha kukamatwa kwa kijana huyo"

"Sawa bosi, nitafanya hivyo" mkurugenzi wa usalama wa taifa alibaki ameduwaa sana na kushindwa kabisa kumuelewa kiongozi wake kwani alikuwa anafanya vitu kwa mihemko mikubwa sana …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next